Baada ya Kampuni hiyo kuomba radhi siku ya January 9 kwa picha ya Ubaguzi na The Weeknd kujiondoa katika kampuni hiyo,Right now kuna Headlines za G-Eazy kujiondoa katika kampuni hiyo japokuwa G-EAZY ni mzungu bt wengi wao wanamchukulia ni mzungu mwenye harakati za watu weusi cs anafanya muziki wa Hip Hop
Kupitia accouny ya Instagram ya Hit Maker wa No Limit ameandika,"Nlikuwa na mchakato wa kutoa product yangu tukiwa pamoja na H&M na baada ya kuona disturbing image jana mchakato huo ukapotea kabisa na nimeamua kuanzia wakati huu kumaliza mahusiano pamoja nao."
Hayo ni baadhi ya aliyoyaandika G-Eazy katika account yake ya Instagram bt unaweza ukaona full post na picha aliyoweka hapo chini.
EmoticonEmoticon