TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Drake & Future Wamekutwa Na Mkasa Huu Wa Mwanadada Kubakwa

Mwanamke aliyebakwa kwenye show ya muziki ya Drake na Future amefungua kesi dhidi ya mastaa hawa wawili.
Mwanamke huyu asiyejulikana alifanyiwa tendo hili kwenye ukumbi wa Bridgestone Arena huko Nashville mwezi wa nane mwaka jana.Mwanamke huyu anasema alichukuliwa na mfanyakazi wa ukumbi huo na kudanganywa ataenda kukutana na Drake na Future.
Mwanaume aliyefanya tendo hilo ametajwa kuwa ni Leavy Johnson ambaye kwa sasa ni mahabusu akisubiria kesi hio kusikilizwa.
Mwanamke huyu anadai dola milioni 25 kutoka kwa Drake na Future.
Kwa Upande wa Future & Drake hakuna Comment yoyote toka kwao mpaka wakati huu bt Keep In touch for More Updates


EmoticonEmoticon