Baada ya kusemekana kwamba Amber Rose anasema kwamba anataka kumwoa 21 Savage na story nyingi kuenea bila fact akikiri kwa kinywa chake,Right Now Mullastar imekuletea video kamili via Tmz akifunguka kuhusiana na Hilo.
Akiwa katika safari zake mwanadada Amber alikutana na Reporter na baada ya kuulizwa kuhusiana na Defamation Lawsuit inayomsibu yeye na mama yake Wizkhalifa,hakutakata story hizo but alitaka aulizwe maswala ya mahusiano aliyonayo na anayo raha kiasi gani.
Na alipoulizwa kuhusiana na 21 Savage alijibu na kusema,“I want to marry him, but we’ll see,”.21 Savage ana umri wa miaka 24 Na Amber Rose ana Umri wa Miaka 33
Nimekuwekea video hapo chini unaweza ukaitazama akijibu kuhusiana na hilo.Enjoy
TAZAMA VIDEO HAPA
EmoticonEmoticon