TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Baada Ya Culture 2 Migos Wamefunguka Kubwa Na Kanye West (AUDIO)

Baada ya kuifanya BBO(Bad Bitches Only) wakiwa na 21 Savage katika production za Kanye West,Right now Migos wamefunguka kubwa kuhusiana na Kanye West
Kupitia Interview ya Beats 1 na Ebro, Offset amefunguka na kusema kuwa kuna collaboration nyingi sana wameshazifanya na zipo ndani,

Quavo naye amesema,We working! Never stop! na kuna ngoma tuliyorekodi na Kanye, where all the top secret shit go down. 

SIKILIZA AUDIO  


EmoticonEmoticon