Ukimzungumzia Diamond Platnumz, Dogo Janja, Nandy pamoja na mwanadada Elizabeth Lulu unaongelea mastaa walio na mchango na mafanikio makubwa sana kwenye tasnia ya Bongo kiujumla.
Video hapo chini imeonyesha mijengo ya maana wasanii hao waliowasimamishia wazazi wao na kubadilisha sura zao kwa kuzafanya zitawaliwe na tabasamu.
Mwaka 2018 umekuwa mwaka wa Furaha kwa mwanadada Camila Cobello baada ya kuibuka na Tuzo 4 za MTV EMAs zilizofanyika Nov 4 siku ya jumapili kuamkia jumatatu huko Spain.
Camila Cobello alikuwa yupo kwenye vinyang'anyiro 6 but akaibuka mshindi kwenye vipengele 4 ambavyo ni Mwanamziki Bora, Nyimbo Bora,Video Bora na Best US Act.
Alichokisema Camila baada ya kupokea tuzo hizo ni,"Najua ukiwa shabiki unajiskiaje,nakumbuka nikiwa na miaka 14,nikiangalia matamasha haya huku nikisubiria mwanamziki bora/pendwa atajwe.Najua ni dahamana maalumu kiasi gani aliyonayo kati ya shabiki na msanii wake pendwa,na natambua dhamana yenu kubwa ambayo ninayo kwangu nyie mashabiki zangu"
FULL LIST YA WASHINDI WA TUZO ZA MTV EMAs
Best Artist Camila Cabello - WINNER Ariana Grande Drake Dua Lipa Post Malone
Best Video Camila Cabello, "Havana ft. Young Thug" - WINNER Ariana Grande, "No tears left to cry" Childish Gambino, "This Is America" Lil Dicky, "Freaky Friday ft. Chris Brown" The Carters, "APES**T"
Best Song Camila Cabello, "Havana ft. Young Thug" - WINNER Ariana Grande, "no tears left to cry" Bebe Rexha, "Meant To Be ft. Florida Georgia Line" Drake, "God's Plan" Post Malone, "rockstar ft. 21 Savage"
Best Pop Artist Dua Lipa - WINNER Ariana Grande Camila Cabello Hailee Steinfeld Shawn Mendes
Best New Artist Cardi B - WINNER Anne-Marie Bazzi Hayley Kiyoko Jessie Reyez
Best Look Nicki Minaj - WINNER Cardi B Dua Lipa Migos Post Malone
Best Hip-Hop Artist
Nicki Minaj - WINNER
Drake
Eminem
Migos
Travis Scott
Best Live Artist
Shawn Mendes - WINNER
Ed Sheeran
Muse
P!nk
The Carters
Best Rock Artist
5 Seconds Of Summer - WINNER
Foo Fighters
Imagine Dragons
Muse
U2
Best Alternative Artist
Panic! At The Disco - WINNER
Fall Out Boy
The 1975
Thirty Seconds To Mars
twenty one pilots
Best Electronic Artist
Marshmello - WINNER
Calvin Harris
David Guetta
Martin Garrix
The Chainsmokers
Biggest Fans
BTS - WINNER
Camila Cabello
Selena Gomez
Shawn Mendes
Taylor Swift
Best World Stage
Alessia Cara: MTV Spotlight @ Hyperplay, Singapore 2018 - WINNER
Clean Bandit: MTV Crashes Plymouth, UK 2017
Charli XCX: MTV Crashes Plymouth, UK 2017
David Guetta: Trafalgar Square, UK 2017
Jason Derulo: Isle of MTV Malta 2018
Post Malone: Wireless Festival, UK 2018
Migos: Wireless Festival, UK 2018
J Cole: Wireless Festival, UK 2018
Nick Jonas: MTV Spotlight @ Hyperplay, Singapore 2018
2. Endapo utahitaji nyimbo yako iweze kuuzwa pia kupitia Mullastar,Jambo hilo litawezekana endapo nyimbo yako itakuwa katika Platform za Tanzania za kuuzia muziki ambazo ni, WASAFI.COM pamoja na MKITO.COM
NOTE:Malalamishi yoyote yatakayowasilishwa kuhusiana na nyimbo ambayo sio haki ya mtu aliyeiwakilisha,Itafutwa ndani ya masaa 24 kama aliyeiwakilisha hatojibu malalamishi.
Comedian/actor DeRay Davis akiwa ame host full show ya BET Hip Hop awards 2018 siku ya Oct 16 Jumanne,Tuzo hizo zimefanikiwa kumalizika vizuri na Female Rapper Cardi B akiongoza kwa kuondoka na tuzo 4.
Way back katika Nominees Drake alikuwa anaongoza kwa kuwania category 11 but amefanikiwa kuondoka na tuzo 1 usiku wa jana.
Rapper Lil Wayne Alifanikiwa kunyakua Tuzo ya Heshima but tambua Right now Weezy anafanya powa na Album yake ya Carter V ambayo ipo nafasi ya 4 kwenye Chart Za Billboard 200 kwa week hii.Tazama speech ya Lil Wayne na akipokea tuzo hiyo.
FULL WINNERS LIST Best Hip-Hop Video Cardi B - "I Like It" feat. Bad Bunny & J Balvin WINNER: Childish Gambino - "This Is America" Drake - "God's Plan" Kendrick Lamar – "Loyalty" feat. Rihanna Migos - "Walk It Talk It" feat. Drake
Hot Ticket Performer Cardi B Childish Gambino WINNER: Drake Kendrick Lamar Travis Scott
Album of the Year Cardi B - Invasion of Privacy Drake – Scorpion J. Cole – KOD Migos - Culture II WINNER: The Carters - Everything Is Love
Video Director of the Year Benny Boom Dave Meyers & The Little Homies Director X Eif Rivera Hiro Murai WINNER: Karena Evans
Lyricist of the Year Childish Gambino Drake J. Cole WINNER: Kendrick Lamar Travis Scott
MVP of the Year WINNER: Cardi B Childish Gambino Drake J. Cole Travis Scott
Producer of the Year Ben Billions DJ Esco DJ Mustard Metro Boomin WINNER: Pharrell Williams
Best Collabo, Duo or Group 21 Savage & Offset & Metro Boomin - "Ric Flair Drip" Blocboy JB - "Look Alive" feat. Drake Cardi B - "I Like It" feat. Bad Bunny & J Balvin Post Malone – "Rockstar" feat. 21 Savage WINNER: The Carters – "Apes**t"
Single of the Year WINNER: "Apesh*t" - Produced by Pharrell (The Carters) "God's Plan" - Produced by Cardo, Young Exclusive and Boi-1da (Drake) "I Like It" - Produced by Craig Kallman, JWhiteDidIt and Tainy (Cardi B Feat. Bad Bunny & J Balvin) "Nice for What" - Produced by Murda Beatz (Drake) "This Is America" - Produced by Donald Glover & Ludwig Goransson (Childish Gambino)
Best New Hip Hop Artist Blocboy JB Juice WRLD Lil Baby Rich the Kid WINNER: XXXTentacion
Best Mixtape WINNER: BlocBoy JB – Simi Future - Beast Mode 2 Juicy J – Shut Da F* Up Lil Wayne - Dedication 6: Reloaded Zoey Dollaz - Sorry Not Sorry
Sweet 16: Best Featured Verse 21 Savage - “Bartier Cardi” (Cardi B feat. 21 Savage) WINNER: Cardi B - “Motorsport” (Migos feat. Cardi B & Nicki Minaj) Drake - “Look Alive” (Blocboy JB feat. Drake) Kendrick Lamar - “New Freezer” (Rich the Kid feat. Kendrick Lamar) Nicki Minaj - “Big Bank” (YG feat. 2 Chainz, Big Sean & Nicki Minaj)
Impact Track WINNER: Childish Gambino - "This Is America" Dej Loaf & Leon Bridges - "Liberated" Lecrae - "I'll Find You" feat. Tori Kelly Meek Mill – "Stay Woke" feat. Miguel N.E.R.D - "1,000" feat. FUTURE
DJ of the Year Calvin Harris DJ Envy DJ Drama WINNER: DJ Khaled DJ Mustard
Made-You-Look Award (Best Hip Hop Style) WINNER: Cardi B Migos Nicki Minaj Remy Ma Travis Scott
Best Hip Hop Online Site/App ALLHIPHOP Complex Hot New Hip Hop WINNER: Worldstar XXL
Hustler of the Year WINNER: Cardi B DJ Khaled Drake Jay Z Kendrick Lamar Travis Scott