TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Album Ya Future Ya Mwaka Huu Imefikia Mauzo Ya Platinum Na Kuwa Moja Kati Ya Album Bora

Rapper Future Right now akiwa katika Tour yake ya The Future Hndrxx" pamoja na Ty Dolla $ign, WizKid, Zoey Dollaz, Post Malone na wengine,Album yake ambayo imechukua jina lake inayoitwa Future iliyotoka mwaka huu,Imefikia mauzo ya Platinum(Kuuza Copy Million 1)

Kupitia, Recording Industry Association of America (RIAA) wameitangaza kwamba ni moja kati ya Album 5 bora  kwa mwaka huu zilizofikia mauzo ya Platinum.Katika Page yao wameandika,"Props to @1future on new Platinum for #Future. 1 of just 5 Platinum (or higher) 2017 albums! @Epic_Records"

Kama unakumbuka Album hii ya Future ilifwatana na Album ya Hndrxx ambazo zilipishana kwa muda wa Week tu,so Future ni Rapper aliyetoa Album 2 kwa muda mfupi ndani ya mwaka huu na kufanya vizuri katika mauzo.


EmoticonEmoticon