Kupitia Mtv Video music Awards kwenye kurasa zao za Twitter wamemuongeza Rapper mmoja atakayeungana na The Weeknd, Fifth Harmony, Ed Sheeran, Miley Cyrus, Lorde, Shawn Mendes, na Katy Perry katika ku perform kwenye jukwaa la Mtv Music Video Awards.
Kendrick Lamar sio tu anaongoza katika kugombea tuzo hizo katika vipengele bt hata kwenye ku perform amefanikiwa kuchaguliwa na Mtv Vmas.Kupitia Page yao Mtv Vmas wameandika," KENDRICK LAMAR IS PERFORMING AT THE 2017 @MTV #VMAs "
— Video Music Awards (@vmas) August 10, 2017Bt Last Night Backstage katika Tour yake ya Damn aliweza kukutana na Dada wa Michael Jackson ambaye ni Janet Jackson alipohudhuria katika Tour Yake.
— Mulla Star (@mullastar255) August 11, 2017
EmoticonEmoticon