Rapper Travis Scott ameendelea kuwa karibu na aliyekuwa mpenzi wa Tyga ambaye ni Kylie Jenner toka familia ya Kardashian's na mwanadada huyo alikuwa katika kusherehekea birthday yake ya kutimiza miaka 20 siku ya Juzi.
Rapper Travis Scott ameamua kumnunulia mwanadada huyo cheni Butterfly ya bei ghali ambayo ina thamani ya Dola za kimarekani $60,000 ambazo kwa pesa za kibongo ni kama Million 134,400,000.
Katika kipande cha video kwenye Birthday ya Kylie inamwonyesha akiwa ameivaa cheni hiyo
EmoticonEmoticon