TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Mafanikio Ya Davido Yamemletea Huu Mkoko Mpya Aina Ya.........


Kupitia mafanikio makubwa aliyoyapata Davido katika kazi ya muziki na Deals,Right now ameamua kujinunulia mkomko mpya aina ya Bentley nyeupe na kuiweka katika page yake ya instagram akimshukuru MUNGU.

Davido ameandika,"🎁❤️🔥.. God you have been too good to me!! 😃" 
A post shared by Davido Adeleke (@davidoofficial) on


EmoticonEmoticon