TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Album Ya Eminem Revival Imefanikiwa Kuwa Kati Ya Album 3 Bora Mwaka Huu Na Imevunja Rekodi Kwa Mauzo Ya Week 1

Album ya Revival Ya Eminem
iliyotoka tarehe 15 December imetajwa kuwa ni moja kati ya Album 3 Bora za Hip Hop kwa mwaka huu katika mauzo ya chat kubwa za Billboard.

Miongoni mwa Album zilizotajwa ipo ya Damn Ya Kendrick Lamar, Drake More Life pamoja na hiyo ya Revival ambazo zimefanya vizuri kwa wiki ya kwanza katika mauzo

Rapper Eminem ametangazwa kukamata nafasi ya kwanza katika chart za Billboard 200 kwa week hii katika mauzo yake ya week ya kwanza kwa mauzo ya copy 267,000.

Album zilizotoka week 1 na ya Eminem ambayo ni The Beautiful & Damned ya G-Eazy imefanikiwa kukamata nafasi ya 3 kwa kuuza copy 122,000 kwa week ya kwanza na imefanikiwa kukamata nafasi ya 3 huku Jeezy akikamata nafasi ya 6 na Album yake ya Pressure kwa kuuza Copy 72,000 katika week ya 1.

BILLBOARD 200 TOP 10
1. Eminem – Revival
2. Taylor Swift – Reputation
3. G-Eazy – The Beautiful & Damned
4. Ed Sheeran – ÷
5. Pentatonix – A Pentatonix Christmas
6. Jeezy – Pressure
7. Sam Smith – The Thrill of It All
8. Luke Bryan – What Makes You Country
9. Garth Brooks – The Anthology: Part I, The First Five Years
10. Chris Stapleton – From A Room: Volume 2


EmoticonEmoticon