Msanii Toka Nigeria Wizkid ameonyesha kuupania mwaka 2018 na kuahidi kufanya mabadiliko katika huu mwaka tofauti na mwaka jana ambao hakuachia album bt aliachia
Mixtape ambayo iliweza ku land mpaka kwenye chart za Billboard na ilikuwa imeshirikisha mastaa wakubwa ambapo kwa upande wa wengine waliichukulia uzito wake kama albumKatika mahojiano Wizkid amefunguka na kuongelea kuhusiana na Album yake na kusema kwamba,"2018 No more Talk,Wizkid album is coming soon"
Itazame Video akifunguka.
But January 9 Wizkid alitoa update za Album kwa mwaka huu katika mtandao wake wa Twitter baada ya kuulizwa na shabiki.
EmoticonEmoticon