Baada ya mafanikio ya Album yake Black Magic katika mtandao wa Spotfy,
Yemi alade amefunguka juu ya tetesi zinazosema kwamba anaandikiwa nyimbo na producer Selebobo.Kupitia mahojiano Yemi Alade amefunguka na kusema, “Selebobo does not write my songs.”
Tazama Video
EmoticonEmoticon