Jlo amefunguka kupitia Latini.com kuhusiana na kazi zake yeye na Baddest Female Rapper Cardi B baada ya kusemekana kuna collabo ya pamoja inakuja.
Jlo amefunguka na kusema,"Nadhani tayari mmeshajua kwamba kuna kitu gani kati ya muungano wetu na Cardi B,Ninayo nyimbo tuliyorekodi pamoja na itatoka hivi karibuni na jina la nyimbo ni Dinero,sijajua bado video itakujaje bt tutaangalia itakuwaje mbele"
EmoticonEmoticon