Mapenzi ya wawili Amber Rose na 21 Savage still Hot
Amber Rose amefunguka kupitia mahojiano kuhusiana na jambo gani huwa analifanya endapo anapokuwa amemmis mpenzi wake 21 Savage kwa muda, kama anapokuwa katika ziara za muziki,Perfomances,studio season na events nyingine.
Amber Rose amefunguka na kusema kwamba akinusa chupi ya 21 Savage huwa inamfanya ahisi uwepo wake mahali alipo,"Huwa nina nusa chupi yake,kama vile p**bu zake zipo wapi?,it smells so good!"Alifunguka Amber Rose
EmoticonEmoticon