Album ya Burna Boy "Outside" iliyotoka January 26 mwaka huu,imefanikiwa kuingia katika chart za
Billboard na kukamata nafasi ya 3 kwenye Category ya Reggae Albums,ambayo album hiyo imecontain ngoma 13.Hii ni Album ya pili ya Burna Boy kukamata chart za Billboard ambapo ya kwanza inayoitwa L.I.F.E ilifanikiwa kukamata nafasi ya 7 ambapo ilitoka mwaka 2013
EmoticonEmoticon