TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Bruno Mars Bado Hajaridhika Na Cardi B On The Stage.Hii Ni Round Nyingine Amemsogeza.

Baada ya kufunika katika show ya Grammy,Bruno Mars ametangaza kufanyaTour yake ya kimuziki ya 
24K Magic World Tour’ na Cardi B anayefanya vizuri riht now kwa upande wa Hip Hop.

Tweets mbili za Bruno Mars katika mtandao wake wa Twitter zimedhihirisha hilo huku ya kwanza ikiwa inasema,"What if I told you I wanna do one more U.S tour so we could celebrate 24k Magic together one last time....."

Huku nyingine ikisomeka,"Annndddd...what if I told u imma bring my lil sis @iamcardib on tour so we can really turn your city upside down! Make this finale a party!!"


EmoticonEmoticon