TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Logic Afurahia Mafanikio Ya Album Yake

Album ya Logic ambayo ni Everybody inayofanya powa katika chart kubwa za Billboard kwa kukamata nafasi ya 34 kwa wakati huu, Imefanikiwa kufanya vizuri katika soko la mauzo.Album ilitoka May 4

Kupitia Recording Industry Association of America (RIAA)wameitangaza Album ya Everybody kufikia mauzo ya Gold(500,000).

RIAA kupitia twitter wameandika,"Congratulations @Logic301#Everybody is a Gold Album in less than two months, and ALL of your studio albums are certified! @DefJamRecords"   


EmoticonEmoticon