Mtandao wa kuuza na kusikiliza nyimbo wa Spotify umetoa ngoma zilizosikilizwa sana ndani ya Summer 17 kwa upande wa Global na Us Top 30.
Ngoma zilizoonekana kufanya vizuri ni Despacito Remix ya Luis Fonsi,Wild Thoughts & Am The One za Dj Khaled pamoja na Unforgettable ya French Montana.
Tazama Full List Hapo chini na Unaweza kuzisikiliza pia.
SPOTIFY’S GLOBAL TOP 30 SONGS OF THE SUMMER
SPOTIFY’S U.S. TOP 30 SONGS OF THE SUMMER
EmoticonEmoticon