Kwenye ngoma ya Bonus 12. “Blue’s Freestyle / We Family” inayopatikana katika Album ya 4:44 ya Jay-Z,mtoto wake amefreestyle kwa dk 45 za mwanzo bt Jay-Z amefunguka kuwa mwanaye aliimba zaidi ya hapo.
Kupitia Interview ya Rapradarpodcast Jay-Z amefunguka jinsi mwanaye alivyoanza ku-freestyle na kumwacha akishangaa the way mwanaye amechukua talent za wazazi.
Jay-Z anaelezea wakiwa studio na mwanaye kwamba"Alienda na akachukua Headphones na akapanda juu ya stool na akaanza kama ku rap huku ameweka mikono mfukoni,sikuamini,na ninazo dakika 5 akifanya hivyo,dakika 5 kwenye cm yangu,nikajua anaelewa concept ya hook and i was like What the Fuck Is Going On In Here"
TAZAMA AKIFUNGUKA FULL HAPA
#Jay-Z describing Blue Ivy's studio session pic.twitter.com/zyJOLZV3fX— Mulla Star (@mullastar255) August 30, 2017
EmoticonEmoticon