Week Mpya katika charts za Billboards zinahusika hapa na inakupasa kuzijua kupitia Mullastar na nimekuandalia Top 10 kwa kila upande wa single na Albums.
Kupitia Hot 100 Ngoma ya Despacito imekamata nafasi ya 1 ikiwa ni kwa Week ya 15 na imebakiza week kama 2 iweze kuvunja record ambayo iliwekwa ya week 16 ambayo ndyo ipo Billboards mpaka wakati huu na hakuna single iliyokaa zaidi ya muda huo wa week 16 bila kutiririka.
Kwa Upande wa Album Kendrick Lamar amekamata nafasi ya pili toka Week iliyopita ambapo alikuwa amekamata nafasi ya 1 bt ametolewa na Kesha na Album yake mpya inayoitwa Rainbow
TAZAMA TOP 10 YA ALBUMS
PLEASE USISHAU KU-SHARE HAPO CHINI
EmoticonEmoticon