TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Dj Khaled Ametambulisha Mzigo Mpya.Tazama Picha Hapa

Dj Khaled akiendelea kufanya powa na Album yake ya Grateful ambayo inafanya powa katika chart kubwa za Billboard kwa kukamata nafasi ya 7,Right now ameleta mzigo mpya wa Sneaker ambazo hazipo sokoni na ni mpya tofauti na 23 Jordan.

Kupitia Snapchat Dj Khaled ameweza kuonyesha viatu vipya aina ya Undefeated x Nike Air Max 97 OG ambavyo vitatoka vikiwa na mchanganyiko wa rangi ikiwemo Sail/White-Gorge, Green-Speed Red.


Mzigo huo unategemewa kuingia sokoni September 2017 bt tarehe haijajulikana na kuhusiana na thamani yake ni kiasi cha Dola $ 180 ambazo kwa pesa za kibongo ni kama Laki 403,380.



EmoticonEmoticon