TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Swizz Beatz ametambulisha Mzigo Mpya Na Lil Wayne

Producer Swizz Beatz ametambulisha track mpya ambayo bado haijatoka akiwa na Lil Wayne katika mtandao wake wa Instagram.

Swizz ameandika,"That's how you feel @timbaland ok I'm reloaded πŸš€ we can battle on stage with the hits and new beats plus battle with the Albums and drop them on the same day I'm with all the smoke πŸ’¨πŸ’¨πŸ’¨πŸ’¨ BRONX NYC!!!!!!!! I'm in a good mood !!!!!!!!! Let's Gooooooooooooooooioooooo! Shout out Wayne killing it! #mclaren720 πŸ’¨New wayne off my Album"
Haiajulikana mzigo wa ngoma hiyo utadondoka sokoni siku gani cs hakuna taarifa zozote toka kwake ambazo zinathibitisha kutoka kwa ngoma hiyo 


EmoticonEmoticon