TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Amber Rose amnunulia 21 Savage Pete Yenye Thamani Ya Dola $50 000

Mwanadada Amber Rose anazidi kuonyesha mapenzi yake kwa kijana mdogo ambaye ni Hit Maker wa Bank Account kwa kumnunulia pete ya bei ghali ambayo alionekana nayo katika tuzo za Mtv.

Pete hiyo ilikuwa imeandikwa "Loyalty 21" Kwa mujibu wa TMZ wameconfirm kwamba pete hiyo inagharimu kiasi cha Dola $50,000 ambazo kwa pesa za kibongo ni Million 112,060,000.

Tazama video ya Pete hiyo hapo chini


EmoticonEmoticon