TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Lil Wayne Amtusi Tena Birdman (Suck My D**)

Lil Wayne bado anaendelea kumporomoshea maneno makali CEO wa Cash Money, Birdman.

Weekend iliyopita katika performance,Weezy alionekana na kusikika akisema "Birdman Suck My Dick" katika ngoma ya No Worry.

Post ya Birdman ya kipindi cha nyuma ilikuwa inaonyesha kama kati yao kuna maelewano mazuri baada ya Lil Wayne ku pose katika picha moja na watoto wa Baby, kuipost katika account yake ya Instagram na kuandika ,"#4L #BLOODLOVE"

TAZAMA VIDEO HAPO CHINI 


EmoticonEmoticon