TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Chris Brown Amefunguka Wasanii 3 Anaowakubali Wakati Wote Dead Or Alive(VIDEO)

Baada ya Chris Brown kufanya powa na ngoma yake mpya ya Questions iliyotoka Last Week,Right now Breez amefunguka kubwa la kulijua kuhusiana na wasanii 3 walio hai au ambao hawapo hai anaowakubali katika game ya music.

Breezy amefunguka na kuwataja wasanii hao akiwemo
  1. Michael Jacson 
  2. Prince
  3. Elvis Presley 
TAZAMA VIDEO HAPA


EmoticonEmoticon