Toka kwenye Album ya Issa ambayo inashikilia nafasi ya 6 katika chart ya Billboard na ngoma ya Bank Account imefanikiwa kufanya makubwa kupitia Recording Industry Association of America (RIAA)
Ngoma ya Bank Account imefanikiwa kuwa moja kati ya ngoma zilizofikisha mauzo ya Gold(500,000) kupitia RIAA.
Kupitia Record Label yake Epic Record kwenye account ya Twitter wameandika,"#BankAccount is officially certified GOLD @21savage"
— Epic Records (@Epic_Records) August 16, 2017
EmoticonEmoticon