Female Rapper Nicki Minaj amefunguka wakati akiwa katika mahojiano kuhusiana na kitu gani anachowaletea mashabiki mwezi huu.
Akiwa katika mahojiano na Dj Whoo Kid Nicki alisema,"June utakuwa mwezi mzuri sana wa muziki,na ninazo records za kutosha kutoa katika mwezi huu na na najua mashabiki watafurahia kuhusiana na hilo na bado nipo vizuri"
Amefunguka mengi ya Kujua kama shabiki so chukua muda kusikiliza Interview hapo chini
EmoticonEmoticon