TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Zawadi Za Mtoto Wa Dj Khaled Ni Ikiwemo Saa Yenye Thamani Ya Dola $100,000 (VIDEO)

Asahd Khaled ambaye ni mtoto wa Dj Khaled amefikisha umri wa mwaka mmoja October 23 bt Birthday yake ya kwanza ilikuwa October 21 siku ya jumamos ambayo ilikuwa hosted by PDiddy 

Headdlines ni kuhusiana na zawadi alizoondoka nazo mtoto huyo ni ikiwemo saa aina Franck Muller ambayo ilikuwa zawadi toka kwa baba yake na report zinasema kwamba saa hiyo imecontain a lote of Gold and Diamonds pieces
Saa hiyo imegharimu dola za kimarekani $100,000 ambazo kwa paper za kibongo ni kama Million 224,530,000

VIDEO ZA ZAWADI ZA ASAHD KHALED



EmoticonEmoticon