Kwa mujibu wa The Hollywood Reporter wameripoti kuhusiana na Kim kufunguka kuhusiana na yeye na Kanye West kuongeza mtoto mwingine wa tatu katika familia yao.
Reporter alipomuuliza kuhusiana na uwezekano wa jambo hilo,Kim alijibu na kusema," I hope so. There have been a lot of things said and Kanye and I have not confirmed anything. We're definitely trying. We are hoping so."(Naimani na hilo,kuna vitu vingi mi na Kanye tumeongea lakini bado hatuja confirm chochote,kiukweli tutajaribu na tunaimani na hilo.)
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
EmoticonEmoticon