Mjengo wa Rapper Eminem uliopo Michigan,Right Now ameamua kuupiga bei ya Dola $2 Million tofauti na bei original aliyonunulia mjengo huo mwaka 2003 ambapo kupitia Dail Mail wameripot kwamba alinunua mjengo huo kwa bei ya Dolla $4 Million bt kupitia The Sun wameripot kwamba alinunua mjengo huo kwa Dolla $ 6 Million
Bt All In All ni kwamba right now tujue tu Bei ya kununulia mjengo huo ambao unauzwa kwa Dolla Million $2 ambazo kwa pesa za kibongo ni sawa na Billion 4,478,200,000.Haijajulikana kwanini rapper huyo ameamua kushusha bei kwa kiwango kikubwa namna hiyo.
Full picha za mjengo zipo hapo chini.Pimia uone kama na thamani yake zinaendana.
EmoticonEmoticon