TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Chris Brown Amefunguka Tarehe Kamili Ya Kutoka Kwa Album Yake Mpya 2017

Baada ya May 2 kutangaza Double Album kupitia mtandao wake wa Twitter na kuweka tracklist,Right now Breezy amefunguka tarehe kamili ya ku dondosha album hiyo sokoni.

Kupitia account yake ya Twitter Breezy amefunguka kwamba Album yake ya HEARTBREAK ON A FULL MOON ita Land mwaka huu October 31 ambayo itakuwa ni siku ya Jumanne.Breezy ameandika,"HEARTBREAK ON A FULL MOON! HALLOWEEN. OCTOBER 31ST. ðŸ’”🌕"
Baadhi ya Ngoma ambazo zipo Out na zimetoka katika Album hiyo na unaweza kuzipata kupitia mullastar ni Privacy, Party, Questions, na Pills and Automobiles  


EmoticonEmoticon