TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

French Montana Amepata Shavu Kwenye Kinywaji Cha Ciroc Cha Diddy(VIDEO)

Rapa French Montana ambaye amekuwa balozi wa kinywaji cha CÎROC kwa muda mrefu amepata Fleva yake ya kinywaji hichi inayoitwa CÎROC French Vanilla.
French amepewa shavu hili na Sean “Diddy” Combs mwenye hisa kubwa kwenye kutangaza na kusambaza kinywaji hichi cha CIROC.
Kama hufahamu toka mwaka 2007, swala la masoko na matangazo ya CIROC limekuwa likisimamiwa na P Diddy huku akigawana faida na watengenezaji wa kinywaji hichi Diageo .
French amesema kwenye interview >”Huu ndio muda sawa wa mimi kupewa mchongo kama huu,CÎROC ndio vodka bora zaidi duniani na sasa kuna CÎROC French Vanilla
CÎROC French Vanilla itaanza kusambazwa mwezi wa 10
Sikiliza French Montana Alichokisema kwenye Video Hapo chini.


EmoticonEmoticon