TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Kendrick Lamar & Rihanna Wapo Tayari Kwa Hili

Kendrick pamoja na Rihanna wameonekana viwanja kwaajili ya jambo la Kendrick muhimu sana.

Kupitia Album ya Kendrick Damn ambayo imeenda platnum,kuna ngoma moja inayopatikana humo ndani ambayo inaitwa Loyalty ambayo amemshirikisha Rihanna.

Now wameonekana viwanja wakiwa wanashoot video ya wimbo huo wa Loyalty ambao soon utakuwa tayari sokoni kwaajili ya mauzo na kuonekana


EmoticonEmoticon