TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Pete Aliyovishwa Cardi B Na Offset Wa Migos Ina Thamani Ya Billion.....(VIDEO)

Baada ya Last Weekend Offset kumvisha Cardi B pete mbele ya Crowd,Right now kuna headlines kuhusiana na Full Price ya hiyo pete ambayo ni Paper nyingi sana kwa mtonyo wa kibongo na Mbele pia.Like Kufuru bt it's all about Love

Pete hiyo yenye muundo wa Rain Drop imesemekana kwamba Rapper huyo amespend kiasi cha dola za kimarekani $ 550,000 ambazo kwa Paper za kibongo we talkin' about Billion 1,236,675,000.

Tazama video hapo chini Cardi B akiwa ana Explain vitu vilivyocontain kwenye pete hiyo.
Migos Right now before mwaka kuisha wanategemewa kuileta Culture 2 sokoni While Cardi B anategemewa kuleta Album yake sokoni kabla ya mwaka kuisha pia. 


EmoticonEmoticon