TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

PICHA | Uthibitisho Wa Harusi Ya Dogo Janja Na Iriene Uwoya (Romance)

Baada ya Zile taarifa za Dogo Janja kusambaa sana kwamba anampenda Irene Uwoya na Weekend hii hapa kusemekana wawili hao wamefunga ndoa,Right now kuna Headlines za wawili hao wamefunga ndoa Live.

Moja kati ya picha iliyopatikana Bibi na Bwana wakiwa wamevalia mavazi ya harusi wanaonyesha upendo kwa kupigana mabusu,Nimekuwekea hapo chini,Itazame na share kwa wengine






EmoticonEmoticon