TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Jay Z & Damian Marley Tayari Kwa Hili!!!Tetesi Za Ngoma Mpya

June 8 Rapper Jay Z alionekana Kingston Jamaica na ali report mahali alipozaliwa Bob Marley Trench Town na Damian Marley.

Jay Z alipiga picha katika studio za Bob Marley Tuff Gong akiwa na Damian pamoja na dada yake Nancy.

But taarifa au tetesi zinasema kwamba Jay Z amekwenda huko kwaajilu ya Collbo au atakuwa amekwenda huko kwaajili ya maandalizi yake ya Album bt taarifa hizo bado hazina uthibitisho.

Kwa upande mwingine kuonyesha kuwa safari hiyo ilikuwa ni ya kibiashara ni kwamba Beyonce pamoja na mwanaye Ivy hawakuwepo Jamaica

Baadhi ya Picha na Video zilizosambaa akiwepo Jamaica







EmoticonEmoticon