TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Selena Gomez Na The Weeknd Wameachana.....Justin Bieber aonekana.....

Staa wa Pop The Weeknd na Selena Gomez wameachana rasmi baada ya miezi 10 kwenye mahusiano  na taarifa hizi zimethibitishwa na mtandao wa TMZ.
Hivi karibuni Selena Gomez ameonekana kurudia urafiki wake na pop staa kutoka Canada ambaye pia ni Ex wake Justin Bieber ambaye walionekana akipata chai ya asubuhi na pamoja na weekend hii pia walionekana pamoja kanisani.
Pia Last week alifunguka via Mullastar na kuzungumza mambo mengi sana ikiwemo Album yake pamoja na anamkubali nani kwenye game ya music.
SIKILIZA HAPA


EmoticonEmoticon