TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Omarion Afunguka Haya Akiwa Na Diamond Platnumz (VIDEO)

Baada ya kuwa na Headlines nyingi ambazo zinaambatana na Picha kwamba Diamond Platnumz wanafanya video ya wimbo wao mpya na Omarion Hit Maker wa Distance,Right now kuna Headlines mtu mzima Omarion amefunguka baada ya kutua Tz akiwa na Chibu.

Alichokiongea nimekuwekea video hapo chini.Enjoy


EmoticonEmoticon