TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Remy Ma & Lil Kim Wameandaa Bomu La Nicki Minaj.Full Story Hapa

Female Rapper Remy Ma asaini mkataba mkubwa na lebo ya Columbia Records na imeripotiwa kuwa anajipanga kutoa Diss nyingine kwa Nicki Minaj atakayo mshirikisha Lil Kim.
Wimbo huo umetajwa kuwa ni ‘Wake Me Up’ Ft Lil’ Kim na tayari wamefanya video ya wimbo huo.
Baada ya mashairi yanayomlenda Nicki Minaj ni pamoja na “That crown, I’m gon’ take that shit / ‘Cause you a clown and homie don’t play that shit.
Mistari hii ina DISS mahusiano ya Nicki Minaj na NasI heard he lay that dick, You let them filet that fish / You just met him, how he bae that quick?
Tayari Remy na Nicki wameshabadilishana maneno kupitia Diss track zao “shETHER,” “Another One,” na “No Frauds.
Cover ya Ngoma yao na Kim mpaka right now imeshatoka na ameweka katika account yake ya Instagram na kuandika,"#WakeMeUp coming soon: remymamusic.com"
A post shared by Remy Ma (@remyma) on


EmoticonEmoticon