Baada ya ku confirm taarifa za kupata mtoto wa kiume,Hatimaye D Banj amerudi na Good New kama Back To Business ambayo itakuwa furaha kwa mashabiki zake.
Msanii D Banj ametangaza jina la Album yake mpya katika mtandao wa Instagram itakayokwenda kwa jina la βKing Don Comeβ.pamoja na Traclist
D Banj ameandika,"#KingdonCome The Album πππCc @applemusic @dkmchannel@beatsbydre @dbanjrecords"
TAZAMA POST YENYE TRACK LIST HAPA
TAZAMA KIPANDE CHA VIDEO
β Mulla Star (@mullastar255) June 9, 2017
EmoticonEmoticon