TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Guess What??!! Mike Will, Eminem & Dr Dre Ndani Ya Studio, Jay-Z Pia Ndani.Wafunguka Live (VIDEO)

Baada ya Album ya Revival kutoka na kufanya powa bado Rapper Eminem ana njaa na studio kwaajili ya kuendelea kufumua Hits kwa right now wameonekana studio za Producer Mike Will Made It pamoja na Dr Dre

Kupitia Live ya snapchat ya Mike Will Made it, Dre na Eminem wamefunguka,Dre anasema,real motherfuckin’ hip-hop” huku Marshall Mathers akitania kwa kusema,Fake hip-hop here.”  
Picha ya Eminem na Dr Dre ndani ya Studio za Mike Will Made It ambazo ni EarDrummers, Marshall ameandika caption,"Still Aftermath!" 

Talk about Mike Will Right now mayb kuna Hit anapika Ya Jay-Z cs ameweka picha yao pamoja na caption,"MOGUL TALK 2018"So Play Around. 


EmoticonEmoticon