Chris Brown is plotting the tour of his dreams.
Msanii Chris Brown amependekeza Tour ya muziki na wasanii wakali 3 ambao ni Beyonce, Rihanna, Bruno Mars.
Kupitia account yake ya Twitter ameandika,"Just thinking.... A CRAZY WORLD TOUR would BEYONCE, RIHANNA, BRUNO MARS, CHRIS BROWN. β2 for 2β. And if yβall decide to do it without me... give me 10%.

Kati ya mastar aliowataja wana mafanikio makubwa sana katika Tour zao akiwemo Beyonce βFormation World Tour,β Bruno Mars β24K Magic World Tour,β Rihanna βAnti World Tour,β na Breezy βThe Party Tour.βJust thinking.... A CRAZY WORLD TOUR would BEYONCE, RIHANNA, BRUNO MARS, CHRIS BROWN. β2 for 2β. And if yβall decide to do it without me... give me 10%. πβ Chris Brown (@chrisbrown) February 9, 2018
Wengi wamejiuliza kama wote wakikubaliana na Tour hiyo,Ni Mtonyo Kiasi gani wataingiza na Huo Ukumbi(Uwanja)utafurika namna gani.
Keep In-Touch
EmoticonEmoticon