TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

CONFIRMED | Alichokisema Damian Marley Baada Ya Jay Z Kuonekana katika Studio Zao

Baada ya June 10 picha za Jay Z na Damian Marley kutapakaa wakiwa studio pamoja,hatimaye story zimekuwa Confirmed na Damian mwenyewe(After let's wait & See)

Damian amezungumza na Billboard na kusema kwamba,"Tulifanya kazi studio ya pamoja na alikuwa pia anataka kutembelea Jamaica,ameshakujaga Jamaica kipindi cha nyuma bt sio hapa Kingston,kwahyo alikuja kingstone na alituuliza kama tutakuwepo ili tumwonyeshe sehemu mbali mbali na kumpa ziara ya kimuziki."


EmoticonEmoticon