TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

FORBES | Ma Celebrity 100 Wanaoingiza Mkwanja Mrefu 2017(The World's Highest-Paid Celebrities) Alichokiandika Diddy Baada Ya List

Can’t stop, won’t stop. Diddy stays on top!!!

Sean ‘Diddy’ Combs ametajwa na Forbes kuwa mtu maarufu aliyelipwa zaidi mwaka 2017 akiwa ametengeneza dola za kimarekani milioni $130 kutoka June 1, 2016, mpaka June 1, 2017.
Mkwanja anaotengeneza Diddy umetokana na Ziara ya muziki ya Bad Boy Family, hisa zake kwenye kinywaji cha Ciroc vodka,Revolt(TV NETWORK)  pamoja na mauzo ya hisa za Brand yake ya nguo ya Sean John,alipokea dola milioni $70 
Alichokiandika Diddy Baada ya kutajwa kuwa namba 1,"Stay focused...laser focused!!! #HustleHarder #CantStopWontStop"
A post shared by Diddy (@diddy) on

TAZAMA FULL LIST NA KAZI ZAO:TOP 100


















EmoticonEmoticon