TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Wizkid Awashinda Jay-z,Kendrick Lamar,Cardi B,Drake Dj Khaled Na Wengine Kwenye Tuzo Za MOBO

Baada ya Msanii Wizkid kupangwa category moja ya Best International Act na Untouchable Rappers ambao ni Cardi b,Migos,Jay-z,Drake,Dj Khaled,Kendrick Lamar,Solange,SZA na Travis Scott katika Tuzo za MOBO("Music of Black Origin") ambayo ilikuwa ni October 28,Right now kuna Headlines kwamba Wizkid Amewa Defeat wote.

Mobo Awards ambazo zili happen siku ya jana Nov 29 ndani ya Arena,zimefanikiwa kumnyakua Wizkid mshindi kwenye Category hiyo ya Best International Act na kuwaacha kapa Untouchables Rappers hao.

Kwa upande wa Best African Act Davido amefanikiwa kuondoka na Tuzo yake na kuwapiku wasanii kama Eugy,Juls,Maleek Berry,Mr Eazy,Sarkodie,Tekno,Tiwa Savage,Wande Coal na Wizkid ambaye ameondoka na Best International Act.

MOBO Awards 2017, full list of winners:

  • Best Male Act: Stormzy
  • Best Female Act: Stefflon Don
  • Best Album: Stormzy – 'Gang Signs & Prayer'
  • Best Newcomer: Dave
  • Best Song: J Hus – 'Did You See'
  • Best Video: Mist – 'Hot Property'
  • Best Hip Hop Act: Giggs
  • Best Grime Act: Stormzy
  • BestR&B/Soul Act: Craig David
  • Best International Act: Wizkid
  • Best African Act: Davido
  • Best Reggae Act: Damian Marley
  • Best Jazz Act: Moses Boyd
  • Best Gospel Act: Volney Morgan & New-Ye
STORY KWA NJIA YA PICHA NA SAUTI


EmoticonEmoticon