TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Jay-z Afunguka Kuhusiana Na Kanye West Kwenye Interview Na New York Times (VIDEO)

Rapper Jay-z amekaa chini na Gazeti la New York Times na kufunguka mambo mengi kuhusiana na Music,Family,Right now yeye na Kanye West wamefikia wap na mengine mengi.

Kuhusiana Na Kanye West cs kulikuwa na taarifa kati yao wameshapanga mikakati ya kukutana na kuwa na maongezi,
"Kanye ni kaka yangu nampenda na mahusiano kati yetu right now its complicated na katika mahusiano ya muda mrefu mambo kama haya huwa yanatokea bt tunahitaji kuzungumza juu ya mahusiano yetu bt kuna upendo pia kati yetu"

STORY KWA NJIA YA VIDEO


EmoticonEmoticon