TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Kabla Ya Album Ya Cardi B,Amesema Tujiandae Kwa Hili Mwezi Huu (VIDEO)

Cardi B is ready to unleash the follow-up to Bodak Yellow So Get Ur Coins Ready.

Female Rapper Cardi B during Interview amefunguka ujio mpya baada ya ngoma yake ya Bodak Yellow kabla ya ku dondosha Album ambapo itakuwa ndani ya this Month.

Cardi B alisema,"Ngoma yangu itatoka December 15 na inaitwa Cardier Cardi,itatoka hivi karibuni."

TAZAMA STORY KWA NJIA YA VIDEO


EmoticonEmoticon