TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

JEEZY Atangaza Album Mpya Na Itadondoka Kabla Mwaka Haujaisha

New collection of trap anthems

Rapper Jeezy ametangaza Album yake mpya na tarehe kamili ya kuidondosha before this year to pass.

Kupitia account ya Jeezy ya Instagram ameweka kipande cha video na caption ya jina la Album na tarehe kamili ya kutoka kwa kuandika,"PRESSURE 12/15 #TrustYaProcess#SnowSeason".

Akimaanisha Album yake ijayo ameipa jina la Pressure na anategemea kuiingiza sokoni December 15.

Sikiliza kipande cha Video the Way ina sound katika ujio wa Album 
A post shared by @jeezy on

Album ya Pressure ni Album ya nne ya Jeezy na ni baada ya Trap Of Die 3 ambayo ilifanikiwa kugusa anga za Billboard 200 kwa ku land nafasi ya 1.

FULL STORY KWA NJIA YA VIDEO


EmoticonEmoticon