TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Alichokisema Rihanna Baada Ya Kutembelea Malawi (Video & Audio)

Baada ya picha kusambaa January kwamba Rihanna Yupo malawi,Hatimaye Rihanna ameachia video yake akiwa malawi.

Rihanna Ametoa kipande cha Vido akiwa Malawi katika shule ya msingi Muzu. Katika video anaonekana akiwa amekaa na uongozi wa Shule,anafundisha wanafunzi Hesabu na kushiriki nao katika mambo mengine.

Alichokisema Rihanna baada ya kufika malawi ni,"Inashangaza kwa jinsi wanavyojifunza,wanajifunza ala za muziki  na hiyo ni kama my favorite thing(Kitu  Ninachokipenda  Sana) kwasababu watoto  washika sana ala za muziki mapema sana na kama tukitumia hizo kama zana za kufundishia,itakuwa ni kitu kizuri sana"
Kipande hicho cha video kitakuwepo katika Documentary Ijayo Ya Rihanna

TAZAMA VIDEO


EmoticonEmoticon