Msanii August Alsina amekuwa kimya kwa muda mrefu na ameweza kufunguka juu ya ukimya wake na jambo kubwa linalomsibu akiwa katika mahojiano na Jada Pinkett Smith katika vipande vya video alivyo share Instagram May 30.
Moja katika clip ya Video Alsina anaelezea kwamba,"Mimi ni mgonjwa sana na imekuwa ngumu kukubali vile ninavyojisikia,vile dokta anavyovisema ni vya kweli,Baada ya kukaa chini na kuongea na Baba,Mama & dada yangu,walinielezea magonjwa yaliyokuwa yanaikumba familia yetu".Alsina aliendelea kueleza,"Baba yangu na Babu yangu walikufa kwa magonjwa ya aina nyingi lakini walikuwa wapambanaji na hayo ndyo mambo"
August aliendelea kuelezea kuwa,"Nina ugonjwa wa Inni na ukweli ni kwamba mimi ni mgonjwa kila wakati na sipendi sana kuongelea hilo.Msini treat kama I’m a f*ckin’ cancer patient(mgonjwa wa Cancer kwasababu mimi sio"
But kama unakumbuka mwaka 2014 alianguka kwenye stage huko New York akiwa anafanya shoo bt baada ya kukaa hospital kwa muda wa siku 3 aliweza kurudi kuendelea na Tour yake na Chris Brown pamoja na Usher.
But Pia mwaka 2015 August Alsina alisema kwamba amepoteza muonekano wa kuona katika jicho la upande mmoja bt ataachana na maadili ya kazi yake,Na pia alidondosha Project ya This Things Called Life na mwaka huu anategemea kutoa Album yake itakayokwenda kwa jina la Drugs ambapo baadhi ya ngoma kama Lonely na Drugs yenyewe zimeshatangulia kutoka.
EmoticonEmoticon